Video

Manengo Ft Belle 9 – Jirani : Video MP4

Manengo Ft Belle 9 – Jirani : Video MP4

Jirani (feat. Belle 9) – Manengo…Jirani yangu weeh jirani weeehJirani yangu ooh wee jirani unanipagawishaJirani yangu, jirani wee unanikatisha kama amri angu unikubalie uwe wangu wa maishaNabisha hodi moyoni mwako jirani nifungulie niwe wako wa ndaniNajihisi nalewa guu lako la bia mama na kufa ma ma ma mariaKatoto kajanja kajanja kadigidigi akili yangu unaivurugu yaani zigizaga twende mbele rudi nyuma nikicheka, unanuna akili yangu ikikuona inaishia kugunaMaisha ni ligi laliga (Laliga) penalty ya mwisho napiga kasura jumlisha na figure Beyonce kanasa kwa jiggerJirani yangu jirani wee,Jirani yangu weeh jirani weeeh unanipagawishaJirani yangu, jirani weeeh unanikatisha kama amri yangu unikubalie uwe wangu wa maisha

Leave a Comment